itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
Hongrea
Hongera mkuu taratibu ndio mwendo,.weekend imeenda vizur
Hongera mkuu taratibu ndio mwendo,.weekend imeenda vizur
Na umeshachanika ngoja niende na huuBadala ya kutia 10k yote kwenye ule wa jwanza tia hata 2000 kwenye huu wa odds 10 kujaribu kulinda pesa
5F9ADT
Ndio huu lakini huu nimeongeza match kama Tatu hivi. Bashiri kistaarabu🙏🏿.Wakuu dhumuni ni kukuza Mitaji ikiwezekana.
Re bet...ule wa pili kuchanika ni ngumuNa umeshachanika ngoja niende na huu
Nadhani hapo win ni moja zingine zote ni cashoutKwani wewe mkuu code zangu huwa unaziwekawekaje? Ama hizi hukuziona?.... tofauti na hiyo ya mwisho Ya live?
Naona jackpot inawindwa hapa
Na cash out ndiyo lengo kwa matreni ndiyo maana unaweka hela kiduchuNadhani hapo win ni moja zingine zote ni cashout
Wewe unabashiri, haubet. Namaanisha unajiwekea tu timu bila kuwa na mkakati. Embu fanya hivi,Mkuu mi tu much aisee kwa hii rate yangu ya kubeti.... Adi nahisi muhindi ananiekea timu bandia
Hii ndo maana halisi ya money management and diversity, ni jambo muhimu kwenye uwekezaji.Badala ya kutia 10k yote kwenye ule wa jwanza tia hata 2000 kwenye huu wa odds 10 kujaribu kulinda pesa
Mtu mwenye tamaa hawezi fanya kama hivi ulivyosema, never!Wewe unabashiri, haubet. Namaanisha unajiwekea tu timu bila kuwa na mkakati. Embu fanya hivi,
-weka stake kubwa mengi chache(zisizidi 3). Yaani unatafuta odds 2 mpaka 2.5 kwenye mechi tatu halafu unaweka 10k,20k,30k n. k kutegemeana na uwezo wako
-mechi unazobet akikisha ni timu ambazo unazijua. mfano kama unafatilia ligi ya uingereza basi uwezo wa man city, arsenal, chelsea, man u, fulham, sunderland, burnley n.k utakua unaujua. Cheza hizo hizo mechi ambazo uwezo wa timu husika unaujua
-kipaumbele kiwe timu ambayo ipo nyumbani. Kuwa makini sana sana sana unapotaka kumpa win ambae yupo away hata kama ni tinu kubwa.
Ukienda hivi mhindi unampasua. Kuna mbili tatu atakupasua lakini probability ya kumpiga inakua kubwa. Lakini ukitaka kwenda na stake ya buku usinde laki, msimu mzima unaweza usile hata mkeka mmojaMtu mwenye tamaa hawezi fanya kama hivi ulivyosema, never!
Hakika kabisa!TAMAA TAMAA TAMAA ndio mchawi Mimi nilikuwa hivohivo wakati naingia odds nyingiiiiii hata sichambui nabonyeza tu natia buku au Jero inasoma mamilion,, ilipita mwaka sijala, nikagundua,, siku hiyo nikaweka odds ndogo Sana machaguo yenye ukaribu na uafadhari, aek athen, yanga na azam,, match Tatu nikaweka mianane nikala buku mbili aloo ndio ilikuwa first time nakula,,, saivi nikiwa na kamtaji tu ni odds mbili kushuka chini, hapa tunapasuana hanipasui unapiga non stop siku nne anakuwahi siku ya tano unakuwa huna hasara,

Wakuu huu wa pili odds tano 🙏🏿. Bashiri kistaarabu 💪.Ndio huu lakini huu nimeongeza match kama Tatu hivi. Bashiri kistaarabu🙏🏿.