yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,927
- 4,199
Hii sawa kabisa.
Hii sawa kabisa.
Haujawahi kupigwa na kitu KIZITOO! mkuu!.... kwenye hizo mechi za asubuhi!Ushauri wa Bure anagalieni na mechi za mapema kuanzia saa kumi usiku mpaka saa tano zinatoa sana,
China Hong Kong, na n. K, ata odd zao zimeshiba
Huu mkeka bado unapumuwa kama kuna aliyeweka, Ingawaje Milan ni kama alitaka kutuharibia.Tia hela 😁
View attachment 3528610
Nashukuru Mungu....jana farao na niger kaninyooshea mkeka safi kabisaWewe unabashiri, haubet. Namaanisha unajiwekea tu timu bila kuwa na mkakati. Embu fanya hivi,
-weka stake kubwa mechi chache(zisizidi 3). Yaani unatafuta odds 2 mpaka 2.5 kwenye mechi tatu halafu unaweka 10k,20k,30k n. k kutegemeana na uwezo wako
-mechi unazobet akikisha ni timu ambazo unazijua. mfano kama unafatilia ligi ya uingereza basi uwezo wa man city, arsenal, chelsea, man u, fulham, sunderland, burnley n.k utakua unaujua. Cheza hizo hizo mechi ambazo uwezo wa timu husika unaujua
-kipaumbele kiwe timu ambayo ipo nyumbani. Kuwa makini sana sana sana unapotaka kumpa win ambae yupo away hata kama ni tinu kubwa.
Huku ujerumani kupata over 2.5 huwa ni kawaida. Nahisi 85% ya game za weekend hii zimetoa over 2.5BundesligaView attachment 3528764
Hongereni mliokula! Mimi huku ni mateso tu napumzika hadi weekend ijayo
[/QUOTE
Tia hela 😁
View attachment 3528610
Amua mwenyeweJionee Nguvu ya Buku.....Biko.....Mshiko Nje Nje!
View attachment 3528698
Nimechaniwa mikeka na mechi moja moja hadi nahisi nimerigwa mzeePole mkuu sio mbaya jipange kwa weekend,.
Hapana mkuu ni kawaida Sana chukua break fupi rudi kwa nguvu mpya, na mbinu mpya taratiiiiibu huyu jamaa hataki hasira au panic, take it easy.Nimechaniwa mikeka na mechi moja moja hadi nahisi nimerigwa mzee