Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,909
- 1,968
✍️Odds 30+ Konky by using Sportybet gifts.... Loading...... Soon!
✍️Odds 30+ Konky by using Sportybet gifts.... Loading...... Soon!
Siri Ni Namba!Odds 30+ Konky by using Sportybet gifts.... Loading...... Soon!
Hii ni nyingine tena,
Mbona una maneno ya ajabu we jamaa..Kama Wewe ni Kunguru (muoga)
Achana na hiyo code ya juu....
Fuata hii code hapa chini niliyoipaka kilainishi(vaseline) ili usichubuke sana!👇👇 30 odds.
View attachment 3528914
Kwamba nikusubiri kuteleza tu 😃😃😃ila wahuniMbona una maneno ya ajabu we jamaa..
Sasa kuna ulazima gani wa kusema mambo ya vilainishi 😂😂🫵
Soma vzr haya maneno 😂😂😂😂Kwamba nikusubiri kuteleza tu 😃😃😃ila wahuni
🤣Kwamba usichubuke sehemu zipi!!.Soma vzr haya maneno 😂😂😂😂
"Fuata hii code hapa chini niliyoipaka kilainishi(vaseline) ili usichubuke sana!"
Mbona una maneno ya ajabu we jamaa..
Sasa kuna ulazima gani wa kusema mambo ya Diddy
Yameletwa na Diddy Dirty Money Mkuu... Sio mimi!Mbona una maneno ya ajabu we jamaa..
Sasa kuna ulazima gani wa kusema mambo ya vilainishi 😂😂🫵
Kabisa mkuu maana jamaa alikuwa gunduUzi umechangamka tangu yule Ser/Kamotee atekwe na wasiojulikana. Ni mwendo wa code tu.
Haukuokoa N-taji?... Nilikuwa na Usingizi Mzito...nikaona nitasinzia then Psg Ani Dortmund!....niokoe mtaji...Kama Wewe ni Kunguru (muoga)
Achana na hiyo code ya juu....
Fuata hii code hapa chini niliyoipaka kilainishi(vaseline) ili usichubuke sana!👇👇 30 odds.
View attachment 3528914
Naonaa anashirikiana na kanji kitufilisi hizi siku za karibuni mimi simbetii tena nishamlamba blacklistPSG ulaaniwe
View attachment 3529235
Mimi niliacha cashout ya 50k wakati game ya PSG haijaanza guess what nilicashout stake niliyoweka 5000Haukuokoa N-taji?... Nilikuwa na Usingizi Mzito...nikaona nitasinzia then Psg Ani Dortmund!....niokoe mtaji...
I hope goli la Paris Dk ya 74 Either lilipandisha Cashout MARADUFU kwa option ya Over 2.5... kwa muda kama dk 5 THEN SPORTY WANABLOCK CASHOUT...MAANA NAWAJUA Sporty siku za hivi karibuni..wana cashout za kikuda na kiwaki sana!...
Ukijichanganya cashout ya 100,000 unaweza bonyeza buku ukiwa haraka!
Kama uliiacha...ni wewe
View attachment 3529231