itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
Ittihad na shobo zake kaharibu shughuli
Ngoja nijilengeshe kwa kanji na leo
Ngoja nijilengeshe kwa kanji na leo
Itakua Az Alkmaar hao na volendam, nilikaa nasubiria goli la pili mpaka nikasinzia.Saizi nishakuwa mvivu kutengeneza slips navizia mikeka yenu na edit halafu natia steki
Juzi kuna mkeka watu humu nilipita nao sikumbuki ID yake ila kuna mechi niliweka goli 2 baada ya dakika ya 8 tu tayari likapatikana goli 1
Mamamke mpaka filimbi ya mwisho ******* wam stuck kwenye hilo hilo moja.
Itakua Az Alkmaar hao na volendam, nilikaa nasubiria goli la pili mpaka nikasinzia.
Hokey ina over time lakini mrusi Huwa haweki so goli la 7 au baadhi ya magoli yametokea KWENYE overtime na si regular, tumia SportBet japo wanabana sana HUWEZI kula hockey kizembe Kwa mrusi.View attachment 3528474hapa vipi wakuu mbona kama nimeibiwa
sawaWazee WA megamix weka keka la mauaji Kuna pesa ya kutosha hapa
Kwa wakala mangi kumefunguliwa kwani?Wazee dondosheni code turuke nazo
Aiseee,kushinda ni kuamini mdauLeo sitaki tamaa kabisa napita hivi! 😁
Senegal vs Egypt- HT X
Nigeria vs Morocco- HT X
Odds 4+
Nirudishe loss ya jana.
nna ka salio ka mkeka wa mancity janaKwa wakala mangi kumefunguliwa kwani?
Noma sana mkuu🤣😁 man city apewe nininna ka salio ka mkeka wa mancity jana