Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Noma sana mkuu
Noma sana mkuu
Fata unachoamini mkuu moyo wakoLeo sitaki tamaa kabisa napita hivi! 😁
Senegal vs Egypt- HT X
Nigeria vs Morocco- HT X
Odds 4+
Nirudishe loss ya jana.
Uliweka goli 2?Senagal vs Egypt
Hawa ******* wanaweza wakatoka bila bila
Waitaliano ni mbwa hasa Napoli,Ac milan ,juve na fiorentina wanatuuza sanaWahujumu uchumi kutoka Italy
View attachment 3529878
Mlioweka over ya goli 2, tusomeeni cashout inakuja ngapi huko?
Au Cashout imekuja kama odds?
Wakiwa wanacheza uwanjani huoni mkubwa nani mdogo nani, wote wanabutua tu.Waitaliano ni mbwa hasa Napoli,Ac milan ,juve na fiorentina wanatuuza sana
Sikuwa na lengo la kuweka mikeka miwili lakini hii ngoja nisepe nayo niwekSPORTYBETY SPORTYBETY SPORTYBETY
Utulivu umepita hapa
ODDS: 5 tuu
CODE:- 580WQQ
Jioni Wakala atoe PESA
View attachment 3529743
Hela uliweka?Leo sitaki tamaa kabisa napita hivi! 😁
Senegal vs Egypt- HT X
Nigeria vs Morocco- HT X
Odds 4+
Nirudishe loss ya jana.
Yeah..Sikuwa na lengo la kuweka mikeka miwili lakini hii ngoja nisepe nayo niwek
Hela uliweka?
Sio muda utamuongeza na Inter hapo kwenye listWaitaliano ni mbwa hasa Napoli,Ac milan ,juve na fiorentina wanatuuza sana
Yani bora niweke under 1.5
Ok Ahsante kwa kunielewesha.Hokey ina over time lakini mrusi Huwa haweki so goli la 7 au baadhi ya magoli yametokea KWENYE overtime na si regular, tumia SportBet japo wanabana sana HUWEZI kula hockey kizembe Kwa mrusi.
Kama wangeinclude overtime basi ungekuwa mshindi