Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Al ittihad na Al Ettifaq kwangu nimeiogopa nimeona kama mechi ngumu sana
66R2RF
Al ittihad na Al Ettifaq kwangu nimeiogopa nimeona kama mechi ngumu sana
Makampuni ya simu yanaingiza pesa kwa kuyauzia haya makampuni namba zetu....Hawa ******* sijui kama hata kuna privacy kwenye line zetu.
Kwasababu hata mimi hiyo meseji nimetumiwa leo.
Tena ni namba ambayo sijawahi kuitumia katika mawasiliano wala vocha haijawahi wekwa.
Ni kwamba kutokana na hiyo line kufanya miamala kwenye kampuni la betting badi wameanza kutuma matangazo yao waliyoingia ubia na makampuni mengine ya ubashiri.
Hii inaonesha kuwa wana monitor kila kitu ambacho kinafanywa na line yako. Nchi nyingine hii inaweza kuwa kesi.
Hizi ni meseji za kampuni za betting ambazo hata sizijuiMakampuni ya simu yanaingiza pesa kwa kuyauzia haya makampuni namba zetu....
wanatufanyia biashara/WANATUUZA! pasipo ridhaa yetu....namba ambazo hazifanyi transaction kwenye kampuni za kubet...hazitumiwi hizi jumbe...
Ni vile tuna mamlaka za kisen.ge zinajifanya hazioni huu uhuni tunaofanyiwa.
Kampuni GaniOdd kumi
Kama nilivyosemaAl ittihad na Al Ettifaq kwangu nimeiogopa nimeona kama mechi ngumu sana
66R2RF
View attachment 3530654
Afisa vipi na shida na odd 18 tu mkuu nataka niweke 10kHii
Kama hela hivi!
Wacha niichungulie...