adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Italia na Madrid ni tia maji tia maji..kwa moto 😀😀😀Yaani hakuna wachawi kama timu zinacheza dakika 90 zinatoka bila bila
Italia na Madrid ni tia maji tia maji..kwa moto 😀😀😀Yaani hakuna wachawi kama timu zinacheza dakika 90 zinatoka bila bila
Mi hata nikiona mtu kaicheza kwenye mkeka wake huwa najisikia vibayaYani bora niweke under 1.5
Kubeti kabisa draw kwangu naona ni bonge ya risk
View attachment 3530002
2.97 ODDS ⚽
Code👉 2DLT2
Kampuni: Fansport
📌 Jisajili Fansport Kwa Kutumia Promo Code 👉SASA1 Upate Bonus Ya 200% .
Jisajili Hapa👇
Jisajili Fansport Hapa
Jisajili Fansport Hapa
Promo Code 👉 SASA1
Mkuu hizo code sikuziona KakaMechi za jana, Zilikuwa hazina complications nyingi , zilikuwa zinatabirika kirahisi kama mechi za leo tu.
Ninapoweka Code ya stake kubwa kwangu kuanzia 7000, huwa naona bora kufa kijerumani, (nisife na wengi!)Mkuu hizo code sikuziona Kaka
🤣🤣🤣Sawa naisubiri huu mwezi Nina jambo langu nataka niweke 5k mkuuNinapoweka Code ya stake kubwa kwangu kuanzia 7000, huwa naona bora kufa kijerumani, (nisife na wengi!)
maana nafanya machaguo hatari! kwa kile ninachokiona kwe fikra zangu tofauti na wanachokiona wengi!
Kwa mfano ningeweka hapa ningeonekana kichaa! Kwa namna bookmarker alivyocheza na odds za jana!
Nitarudi hapa na code ya 2000, 1000 na 5000 nilizo-zipaka vilainishi ili watu wasiumie sana!
Jana kwenye account nilibaki na 6700 tu, nikaweka odds 4 Kisha nika stake elfu 6 ikachana timu Moja tena al ahly ambaye nilimpa Double chance ila alifungwa.
Ile 700 iliyobaki, nikaweka mkeka mwengine ambao sikuwa na uhakika nao. Zilikuwa odds 41. Niliweka kisha nikalala baada ya kugunduwa bando limeisha. Sasa nafunguwa Sasa hivi nakuta odds 41 zimetiki aiseee 😁
View attachment 3530474View attachment 3530475
Hawa ******* sijui kama hata kuna privacy kwenye line zetu.Hee, hii nayo ni kampuni ingine ya betting!? Aisee!
Ila kwa wakamaria makini, tunazijua kampuni Kong we na ambazo hazina longolongo kwenye malipo!
Sasa jichochee mwenyewe kwenye hizi kampuni za mfukoni!
nina wasiwasi na hizi kampuni za simu zinauza namba zetu kwa haya makampuni mapya
View attachment 3530584