Hongera sana
Hongera
JITU BANDIA kampuni gani za kamari hazina ujanja ujanja kulipa hata uwapige parefu sana?Hee, hii nayo ni kampuni ingine ya betting!? Aisee!
Ila kwa wakamaria makini, tunazijua kampuni Kong we na ambazo hazina longolongo kwenye malipo!
Sasa jichochee mwenyewe kwenye hizi kampuni za mfukoni!
nina wasiwasi na hizi kampuni za simu zinauza namba zetu kwa haya makampuni mapya
View attachment 3530584
Asante, hela ilikuwa kidogo ila nilikuwa mikeka 2 kufika saa 11 janaHongera
🤣 🤣 🤣 🤣 MkuuNina siku 4 natest mitambo mechi 3 Odds mbili kila siku zinatiki japo siweki Hela nyingi.
Sasa nawaza Leo nitie mzigo mkeka uchanike 🤣
Ngoja nitest huu3C8HUS7. Bp
Tupitie huo kama unaweza kufanya Marekebisho.