JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Kama kufa...Tufe wote....Msiba wa wengi Sherehe!...if we win we win together!
Kwangu mimi My favourite payout na inayojirudia kwangu mara nyingi kwenye betting history ni 200k...
hivyo ninapokuwa na stake yoyote!...iwe buku,buku2,5 ama 10k.... kivyovyote vile huwa nacheza na odds... hapo hapo payout isivuke 290k kwenye code ya Kimkakati.