Unaweza kuliwa jumamosi & jumapili....Ukabutua Jumatatu...Siku kavu kabisa kwa wakamaria, mechi za kulenga kwa manati....Leo napo no siku wakuu
Mchawi ni code tu mkuu,Unaweza kuliwa jumamosi & jumapili....Ukabutua Jumatatu...Siku kavu kabisa kwa wakamaria, mechi za kulenga kwa manati....
Kwenye Msiba wa Bibi March last year...nilifululiza kuliwa wiki mzima!,
Siku ya kuanua Matanga jumatatu, Na mimi nikaanua Tanga na Sportybet wakanianulia matanga usiku saa 5 kwa kunichangia 680,000 kwenye kikapu!
Kosa pesa mfukoni lakini hakikisha hukosi code iliyoko hewani!
Hakuna code za. Uhakika mkuuMchawi ni code tu mkuu,
Uwe unatuwekea za uhakika tumnyonyoe kanji
Hizo hizo za kuokota ilimradi mtaji ukueHakuna code za. Uhakika mkuu
Sasa ukae kwa kutulia subiri code Ila usiwe na tamaa na matarajio makubwa utakuja uumie mkuuHizo hizo za kuokota ilimradi mtaji ukue
Wanazingua sanaLigi ya uturuki timu ni fanabahce tu...
Sijui nimejichanganya vipi kuwaweka hawa mbwa besiktas!
Jana kidogo besiktasi asepe na 15k yangu.MALAYA WENYE majina makubwa!
Wanaponza wengi!View attachment 3531959
Mmmh!View attachment 3532075
SPECIAL OPTIONS ⚽
Kampuni: Captainsbet
Booking Code 👉: 17695767
📌 Tumia Promo Code Code👉 SASA1 Kujisajili Captainsbet Upate Bonus Ya 200%.
Jisajili Hapa👇
https://captainspartners.com/s/5H5v
https://captainspartners.com/s/5H5v
Promo Code 👉 SASA1
Huyu Mamelodi wako aliefungwa 2 -1 kwenye code yako hii...ni mamelodi wa nchi gani? Ama ni mamelodi wa uganda?!Jana kidogo besiktasi asepe na 15k yangu.
Hawa ni sporty bet wenyewe wanajichanganya, mi mwenyewe nimeshangaa wameandika hivyo. Ilikuwa 2-0 ndo maana ilitickHuyu Mamelodi wako aliefungwa 2 -1 kwenye code yako hii...ni mamelodi wa nchi gani? Ama ni mamelodi wa uganda?!
View attachment 3532088