JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Ndo jamaa anajiita JITU BANDIA🤣Kwamba usichubuke sehemu zipi!!.
Ndo jamaa ako huyo JITU BANDIA an nimesoma nimecheka tuu unajua nimeanz kuogopa code za huyu jamaa 😂😂😂😂😂😂😂😂🤣Kwamba usichubuke sehemu zipi!!.
😂😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵DaaaahYameletwa na Diddy Dirty Money Mkuu... Sio mimi!
Code?Ngoja nijilengeshe kwa kanji na leo
🤣 🤣Saizi nishakuwa mvivu kutengeneza slips navizia mikeka yenu na edit halafu natia steki
Juzi kuna mkeka watu humu nilipita nao sikumbuki ID yake ila kuna mechi niliweka goli 2 baada ya dakika ya 8 tu tayari likapatikana goli 1
Mamamke mpaka filimbi ya mwisho ******* wam stuck kwenye hilo hilo moja.