JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Timu za kibongo huwa naweka kwenye code 1 ama 2 ambazo huwa hazizidi 2000, siweki timu za samia kwenye code yoyote ya Kimkakati mkuuHawa matapeli hata 1Up hawana
Niliacha kushabikia hizi timu na ligi nzima kiujumla na hata kwenye slips zangu siwaweki.