itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
🤣 🤣 🙌Hapa labda utie mpunga mrefu, ukipiga umepiga ukipigwa umepigwa.
🤣 🤣 🙌Hapa labda utie mpunga mrefu, ukipiga umepiga ukipigwa umepigwa.
Wakuu hongereni mliofata 🙏🏿.Unaandaa vizuriiiiiii, baadae Sasa.
ndio kama hivi🤠🤠Unaandaa vizuriiiiiii, baadae Sasa.
🤣 🤣 Dah mkuu.ndio kama hivi🤠🤠
Win 1 and total over 2.5 ina odds 38 hii nitaifuata mzeeMorocco out!
Oi kuomba hela kwa wakamaria ni sawa na kuomba jamvi msibani... Kwann usitafute kibarua uko wapi mwanangu...NAOMBA MTU ANIKOPESHE 15000 TAFADHALI [emoji120] NIKO NA SHIDA SANA NITAKUREJESHEA TAREHE 20
Dm , Pm Iko wazi....Jinsia inazingatiwa zaidi, Ulembe maneno na sauti Dm!NAOMBA MTU ANIKOPESHE 15000 TAFADHALI 🙏 NIKO NA SHIDA SANA NITAKUREJESHEA TAREHE 20
💪Oi kuomba hela kwa wakamaria ni sawa na kuomba jamvi msibani... Kwann usitafute kibarua uko wapi mwanangu...
Anyway ngoja nikueleze maisha yangu binafsi Mimi nafanya kazi ya saidia fundi kwenye sekta ya ujenzi huku kwa siku wanalipa elfu 15 na tunapewa baada ya siku 6 elfu 90.. nina mke na mtoto na maisha na ninaishi fresh na hua naweka mkeka hadi elfu 50 Kuna muda hua nashinda Hela nyingi tu kwa mwezi na Kuna muda hua nalose na Sina hofu...
Funguka usaidiwe ila siwezi kukupa hata buku japo na huo uwezo wa kukupa 15k... I'm sorry
Achana na mechi za kibongoOgaBoy hii mechi ya singida vs yanga.... namna gani hapa?!...
Tunaibetije + mechi ya Cameroon 🇨🇲
Hawawezi kupata goli moja moja hawa?
Ufafanuzi murua, but Acha niikwepe hii gemu ya cameroon.Achana na mechi za kibongo
Mechi ya cameroon mpe cameroon ashinde au over ya 2.5 (high risk)
Kwasababu Morocco hawana defense nzuri wae wakina Hakimi wote wanacheza kama wings back.
Naamini mechi hii ikienda magoli lazima Cameroon apate goli. Kwa hiyo hata kama atafungwa basi lazima itaneda GG na 2+ ambapo mkeka utatiki kupitia double chance ya magoli.
Unaweza pia kuiwekea home win or under 2.5 (medium risk)
Au kama unatafuta simple odds weka sending off No. (Low risk)
Kwasababu hizi.
Hii ni mechi ambayo binafsi naiona itakuwa na faulo nyingi kutokana na joto lake lilivyoanza kabla ya mechi yenyewe.
Hivyo naona kwenye market ya kadi nyekundu kuna odds nzuri nzuri around 1.22 endapo hakutakuwa na kadi.
Sasa matazamio yangu kutokana na mzozo na mgomo wa Cameroon kuhusu kumkataa refa kunaweza kumfanya refa atayeingia kuchezesha leo awe na pressure asitoe sana kadi hususan kadi nyekundu ili asionekane kama ni refa ambaye alikuwa na mikakati ya kuipendelea timu fulani kama ambavyo ilikuwa inakadiriwa.
So hizi zote ni assumption zangu kwenye hii mechi.
Hawa matapeli hata 1Up hawanaTusaidiane ushauri wakuu, hii mechi ya yanga vs singida inabetiwaje?
View attachment 3527491