Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,447
- 3,302
hiyo imewekwa na sportybet wenyewe kama mfano wa dauMkuu sasa mbona dau dogo sana au wewe hubet kwa ajili ya kutafuta hela bali unabet kujifurahisha kama vile unavyocheza draft?
hiyo imewekwa na sportybet wenyewe kama mfano wa dauMkuu sasa mbona dau dogo sana au wewe hubet kwa ajili ya kutafuta hela bali unabet kujifurahisha kama vile unavyocheza draft?
Sawa mkuuhiyo imewekwa na sportybet wenyewe kama mfano wa dau
Eti eeh!?SUPER CUP semi finals
1. Barcelona vs Bilbao (Barca win @ 1.50) odds za bure kabisa hizi.
Mr pipa habari za miaka mtumishi?Man u vp?
MelbetHivi ni 1xbet?
Umelost acha ujinga penda kujisomea, nyie NDO mnaingia hotel alafu mnauliza eti hii ni hotelMkeka wangu Una games 5 tu. Nimeweka option ya GG 2+ na tayari mechi tatu zimetowa. Sasa hawa jamaa wameuweka ni lost kwa sababu ya mechi hiyo hapo wakati mechi imetoa GG 2+.
Bado mechi mbili tu za baadae. Scenarios kama hizi huwa mnadili nazo vipi wakamaria wenzangu ?
View attachment 3524675
🤣🤣Hii code ya Kimkakati imeliwa mapema sana! Kabla hata ya dakika 30!
Hii imevunja recoding!View attachment 3526734
Waaminifu ni Inter,Como, RomaNapoli yupo kazini,, hii league ya Italy ina shida sehemu
Waaminifu ni Inter,Como, Roma
saivi timu nazobetia ntakuwa naangalia zinavyocheza, nikiona kila shambulizi ni mipira ya krosi basi hiyo timu naachana nayo.Waaminifu ni Inter,Como, Roma
Ng'o ng'o eeh!?Eti eeh!?
Mnaomba mtaji wa kubeti wote wapumbavu..kwanini uombe mtaji? Ili uliwe hela ambayo hujaitolea jasho? Ili isikuume? Pumbavu kabisa!Niwezeshe Mtaji 🙏☝️