Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20260103-110356.jpg

66XJ1R odds 4
 
Waraka wa Mtume Paulo kwa wagalatia 3: 18 "amelaaniwa mtu yule amwelekezaye mwenzake njia ya kudumbukia shimoni!"

Matendo ya Jitubandia 2:2 "itafute njia iliyo sahihi wewe mwenyewe!"


Sitaki kushiriki hii dhambi!, usipokuwa makini, huu ni URAIBU(Addiction)

Usidanganywe na ile kauli mbiu eti " BETI KISTAARABU!" Hakuna kitu kaa hiyo pale unapoliwa mfululizo! Huo ni UONGO!
😁😁
Nimetaka mwenyewe mkuu. Nipe madini.
 
Mkeka wangu Una games 5 tu. Nimeweka option ya GG 2+ na tayari mechi tatu zimetowa. Sasa hawa jamaa wameuweka ni lost kwa sababu ya mechi hiyo hapo wakati mechi imetoa GG 2+.

Bado mechi mbili tu za baadae. Scenarios kama hizi huwa mnadili nazo vipi wakamaria wenzangu ?

IMG_1105.png
 
Wako sahihi sportybet, tayari nimepata majibu 🙏🙏🙏
SPORTYBET hawana janja janja. GG 2+ kwa ninavyoelewa ni lazima timu zote mbili zifunge goli mbili na kuendelea kila mmoja.
Nadhani wewe ulielewa GG & 2+ ambayo ni tofauti na GG2+
 
Back
Top Bottom