Kama unaangalia matokeo kwa jicho hilo i doubt your football knowledge.
Mimi sipo upande wowote ila nachojua Sunderland ni wagumu sana wakiwa kwao, hawajapoteza hadi sasa kwenye uwanja wao wa nyumbani.
City walishinda comfortably 3-0 wakiwa nyumbani.. km unafuatilia mpira vizuri utakua unaelewa home advantage ilivyo na nafasi kubwa kwenye mpira wa sasa.
Sasa energy waliyonayo City pale Etihad, leo wanayo Sunderland kwenye uwanja wa Stadium of Light.
Kwa kifupi leo sitaki nijihusishe na City. Ila kwa possibility ya ushindi City anayo kubwa, ila usiwe confident kupitiliza.