KOROSHO BOMBA
Senior Member
- May 11, 2024
- 186
- 313
Ngoja siku uingie geto kwake ndo utajua kama mchumba au la
Ngoja siku uingie geto kwake ndo utajua kama mchumba au la
Kwa hiyo leo una clean sheet au sio! š š¤£šBora leo sijatia doa hata moja la lossš„
Panda EMBAKASIWadau na shida na milioni na mtaji wa elfu 50
Panda EMBAKASI
Kwaio nyie hela mnakula chap tu mkeka uku lost tu mshachkua chenu ila sie kutoa hela zetu mpaka tuwatafute tusumbuane tuandikiane ad email au syo..Kila mtandao una vigezo na masharti ambapo kimsingi kwa mty anayejielewa kabla ya kukubali sheria na masharti na kujisajili nilazima asome na kukubaliana navyo
Hii ya kuweka under corner hata lile kokoro la juzi nilijuta kweli,, nilivoona under 12.5Leo kanji kanirudishia mtaji kokoro limetiki du niliofia corner under 12 zimeishia 11
Mechi zenye kasi kubwa ndiyo kona zinakuwa nyingi ila under 12 corner ni bora kuliko over 1.5 ya magoliHii ya kuweka under corner hata lile kokoro la juzi nilijuta kweli,, nilivoona under 12.5
Sahihi mkuuMechi zenye kasi kubwa ndiyo kona zinakuwa nyingi ila ander 12 corner ni bora kuliko over 1.5 ya magoli
Bora nife na umasikini wangu kuliko kubet .Wakati bwana adriz yupo kitandani anajambia shuka tu wenzake Nasubiri ac milan tu nipige pesa
Ila kudinya na kupokea bahasha za mafisadi ya ccm unafanya au ungefanyaBora nife na umasikini wangu kuliko kubet .
Alhamdulillah tokea nizaliwe sijawahi kujihusisha na michezo ya betting , Kuna wakati niliwaza nilipigika nikawaza nibet kidogo nijikwamue ila nafsi ikakataa
Kazi inakwenda kuanza muda mfupi kuanzia sasa6USKBQ
5318CV
54NG1D