Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20251231-112516.jpg
6L48VT
 
Sio matapeli niuelewa wako mdogo. Kwanza hakikisha kiasi ulicho deposit umekibetia kwa 100% hakikisha hauna active bonus, hakikisha laini yakutolea ndio uliyotumia kudeposit na majina yafanane na ya account . Jaribu kutoa 5000 kwa voda tuone
Ko wewe ndo customer care wao au sio Yani kutoa hela angu masharti kama ya mganga,
 
Man u wakushindwa kufungwa wolves akiwa kwake, na wolves ndo anashika mkia
Man u hutakanyaga kwenye mkeka wangu
Daah mi Chelsea kaondoka na laki yangu qmmk. Sijui nipumzike kwa mda maana timu Moja lazma iniue.
 

Attachments

  • Screenshot_20251231-133114.png
    Screenshot_20251231-133114.png
    181.2 KB · Views: 19
  • Screenshot_20251231-133050.png
    Screenshot_20251231-133050.png
    322.7 KB · Views: 24
Wazee mwenye treni la kusonga mdogo mdogo hadi jpili aliweke hapa ...mimi nimechoka kwa kweli natumia zaidi ya nusu saa kutengeneza treni halafu siku hiyohiyo linaaanguka sijawahi kupitisha treni siku mbili
 
Ko wewe ndo customer care wao au sio Yani kutoa hela angu masharti kama ya mganga,
Kila mtandao una vigezo na masharti ambapo kimsingi kwa mty anayejielewa kabla ya kukubali sheria na masharti na kujisajili nilazima asome na kukubaliana navyo
 
Kwahio kama Nimeweka
Group qualification- Tanzania No
Kumbe nisubiri Hela tuu. Mana nimewin
🤣🤣🤣 hapo panahitaji busara sana lakini kiuhalisia tanzania hajafuzu kwenye kundi bali amefuzu kwa jumla ya timu zote best looser wa mashindano
 
Back
Top Bottom