Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
NIMEFUTA OPTIONS ZA OVER AND UNDER KWENYE MIKEKA YANGU MILELE .. jana bukinafaso over 0.5 ilichana matreni leo angola vs misri over 0.5 imechana tena matreni nimegundua hizi OPTION ni sumu baada ya kuunganisha dot za miaka ya nyuma kila nikicheza zinachana vibaya sana.....bora hata nichezapo direct win kuliko over and under 🙌😁 mwendo ni
1)handcap
2)draw no bet
Kucheza over and under ya magori ni ujinga bora kucheza bookings ya over 1.5 yaani kadi nyekundu na njano ...nafanya tathimini ya kuongeza over na under ya kadi badala ya over na under ya magori..