yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,927
- 4,199
Sijawahi kuijaribu. Ngoja niijaribu leo.Flex ndiyo nzuri unatumia one flex nadhani nayo wanafunga cash out
Mkuu Hawa jamaa wa uturuki "Muglaspor ndio wameharibu shughuli treni zote sio! 🤔 Kama ndivyo basi nikirebet so shega tu!! Au unaweza Sema lolote labda utafanyia ufundi wowote!!Flex ndiyo nzuri unatumia one flex nadhani nayo wanafunga cash out
Jamaa gani hao mbona hakuna treni limechanika kwa niliyo post🙄🤔Mkuu Hawa jamaa wa uturuki "Muglaspor ndio wameharibu shughuli treni zote sio! 🤔 Kama ndivyo basi nikirebet so shega tu!! Au unaweza Sema lolote labda utafanyia ufundi wowote!!
Basi bro "Muglaspor "wametoka draw Ile draw no bet,, masoko yamenichanganya, nishaelewa sasa🙏🏿Jamaa gani hao mbona hskuna treni limechsnika kwa niliyo post🙄🤔
Mkeka umetika bado game Moja sema kumbe ipo j4
Hata mi nilicashnime cash out..
Ungevumilia train litiki loteHata mi nilicash
Ilibaki game Moja tu ipo j4Ungevumilia train litiki lote
Ungevumilia tu j4 si kesho kutwa tuIlibaki game Moja tu ipo j4
Boom 💥 boom 💥odds 2 hizo sportybetView attachment 3521734
Bado treni inaendelea na safari ikiwa ni siku ya pili sasaIf you don’t act on life, life has a habit of acting on you.
Tuondoke na treni odds 1252.94
code : 51LH7R
View attachment 3521730
🙏🏿Jana bukinafaso kachana treni limebaki moja ila mimi nili REBET YANAENDELEA JUMLA MATRENI MATATU ....LEO NIMEONA NI SHEHE CODE HII NGUMU KUMEZA KIDOGO ODDS 261 HIVI MECHI 14 ..Uwezekano wa kula ni asilimia 70% na ODDS400
👉 ODDS400 5MHQSB
👉 ODDS261 5JESC5
Mkuu kampuni nyingine sio za kufanya nazo kazi, Mimi situmii tena kampuni za Kuja na kutoka,, niliwahi tumia betwinner na 888, na 1XBET, an complication nyingi tofauti na sportybet au sport pesa au meridian,, nimeacha pesa yangu betwinner, nikafuta na app yenyewe,. Hao Wanataka wakukule tu ukila ugomvi,, kampuni za hivo wanarahisisha kuweka hela, kutoa ni shida tupu,. Ushauri kama Wana office nenda kama Wana mitandao ya kijamii au namba za simu watafute, na mwisho, wawekezaji tujitahidi kuwekeza pesa sehemu salama hata siku ukila hakuna kukimbiana.View attachment 3522107
Jamani hii kampuni ya 1win nani anaijua nimekula kila nikitoa hawataki sio matapeli Hawa,
Tangu Jana wananizungusha tu wapumbavu hawa
Nilichukua hiyo code mkuu ngoja tusubiriJana bukinafaso kachana treni limebaki moja ila mimi nili REBET YANAENDELEA JUMLA MATRENI MATATU ....LEO NIMEONA NI SHEHE CODE HII NGUMU KUMEZA KIDOGO ODDS 261 HIVI MECHI 14 ..Uwezekano wa kula ni asilimia 70% na ODDS400
👉 ODDS400 5MHQSB
👉 ODDS261 5JESC5
Kamotee na Ser kwenye ID mpyaView attachment 3522205
AFCON ⚽
Code👉 DNQNQ
Kampuni: DbBet
📌 Jiunge DbBet Kwenye Link Hii👇
Jisajili Hapa
Jisajili Hapa
Tumia Promo Code 👉 SASA1
Huyu rofa mwingine katoka wapi kwani nyuzi za matangazo amzijui ....lengo lenu ni matanzazo siyo code wala kuelimishana .... sijui hawa ma mod wanafanya kazi gani au tuanzishe uzi mpya wa kampuni la sportbet tu tuachane na hawa washenzi wa sisiemuView attachment 3522205
AFCON ⚽
Code👉 DNQNQ
Kampuni: DbBet
📌 Jiunge DbBet Kwenye Link Hii👇
Jisajili Hapa
Jisajili Hapa
Tumia Promo Code 👉 SASA1