Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

odds 2 hizo sportybet
download (3).jpeg
 
Hii Habari ya cash out sitaki kusikia, mkeka ukitiki usingizi unapata kwa shida Sana, ***** an saivi ni kuacha tu kama mbwai iwe mbwai ishanitokea mara mbili sitaki kabisa,.
Cashout siyo
Juzi nimewapa kadi 3+ mechi 1 ya Afcon, nachungulia dakika ya 90 imetoka kadi 1, nika cashout, aisee zile dakika za nyongeza referee alitembeza kadi zaidi ya 7
Saiv Bora nipoteze tu
 
Cashout siyo
Juzi nimewapa kadi 3+ mechi 1 ya Afcon, nachungulia dakika ya 90 imetoka kadi 1, nika cashout, aisee zile dakika za nyongeza referee alitembeza kadi zaidi ya 7
Saiv Bora nipoteze tu
🤣🤣🤣🤣Mkuu pole Sana, Mimi sio ya kunambia kabisaaaa saivi ni liwalo na liwe basi an haiishi mpaka iishe.
 
🤣 Halafu ukisha cash-out unaombea mkeka uchanike ila Cha ajabu hauchaniki ng'o.
🤣🤣🤣🤣 An ukicash out Kuna roho flani inakujia keka lichanike ili upate nafuu, ujifariji, ili usijione boya kwa kuchukua hongo,. Sasa cha ajabu mzigo unatiki ndio unabaki kuhema kama paka tu manina presha 🤣🤣🤣.
 
Uki cashout hata timu mbovu inaamka na kucheza kibingwa utafikiri inashindania makombe..
 
🤣🤣🤣🤣Mkuu pole Sana, Mimi sio ya kunambia kabisaaaa saivi ni liwalo na liwe basi an haiishi mpaka iishe.
🤣🤣🤣🤣Mkuu pole Sana, Mimi sio ya kunambia kabisaaaa saivi ni liwalo na liwe basi an haiishi mpaka iishe.

Hii mechi ndo ilikuwa maana halisi ya haiishi mpaka iishe.
 
Attachments

  • Screenshot_2025-12-24-18-41-12-042_com.sofascore.results-edit.jpg
    Screenshot_2025-12-24-18-41-12-042_com.sofascore.results-edit.jpg
    45.9 KB · Views: 18
🤣An Nia Yao wakujambishe tuu ujutie hongo uliyochukua, ndio Maana sometimes ni bora usifatilie kabisa keka we subiri tu, kama kunyoa au kunyolewa.
Kama ni sporty bet tumia option ya one cut, inafunga cash out. Yaani ukitia mzigo unatulia tu mpaka iishe hakuna cha cash out, lakin pia unaeza chagua ikichana timu moja unarudishiwa kiasi flani au stake yako.
 
Back
Top Bottom