Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,534
- 11,445
Hongera mi niliwahi kushinda mechi kumi mara mbili.. ila sikihizi sibet tena jackpotJana nikasema acha nijaribu bahati kwenye Jackpot,
Usiku huu Nashangaa naona Salio 30k kumbe nilipatia mechi kumi wamenipa bonas [emoji1787]View attachment 3521068