Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Achana

Achana naye wewe share hata kama uwe na odds mamilioni siye ndiyo tunaponeaga hiyo
Hizi Mishe mishe zikikubali Party inaanza day break!
1000062851.jpg
 
Jana nikasema acha nijaribu bahati kwenye Jackpot,
Usiku huu Nashangaa naona Salio 30k kumbe nilipatia mechi kumi wamenipa bonas 🤣
Screenshot_20251226-213421.jpg
 
Back
Top Bottom