Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

dudu hilo linaanza dk Tano kutoka sasa
 

Attachments

  • 1100.JPG
    1100.JPG
    12.5 KB · Views: 17
meridian wamepunguza hizo changamoto siku hizi, sportbet ni nzuri sana ila shida haina mechi nyingi za table tennis, napenda table tennis sababu mchezo mzima hauchukui zaidi ya dk 20!!
Ah poa mkuu ndio kampuni Zangu hizi, ninazoziamini, sportybet, meridian, sport pesa,, Hawa hawajawahi kunitapeli hela,, lakini kampuni za kirusi sitozitumia wanazingua mpaka unasamehe tu pesa.
 
Wawekezaji Afcon ni fursa. Tupambane ituache na faida.
 

Attachments

  • Screenshot_2025-12-24-11-46-24-473_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    Screenshot_2025-12-24-11-46-24-473_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    142.1 KB · Views: 20
  • Screenshot_2025-12-24-11-48-33-792_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_2025-12-24-11-48-33-792_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    138.7 KB · Views: 19
Waambie tu Kuna mchongo unausikilizia harafu kata simu.
 

Attachments

  • Screenshot_20251224-170513.png
    Screenshot_20251224-170513.png
    324.1 KB · Views: 16
Pesa ya madafu naisikilizia
 

Attachments

  • Screenshot_20251224-183852_SportyBet.jpg
    Screenshot_20251224-183852_SportyBet.jpg
    111.8 KB · Views: 19
Hawa Burkinafaso wana balaa. Mkeka nilikuwa nshaususa kabisa, kumbe majamaa yamesawazisha dakika ya 95 na kushinda dakika ya 98. Salute kwao hawa jamaa
 

Attachments

  • Screenshot_2025-12-24-18-42-00-038_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    Screenshot_2025-12-24-18-42-00-038_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    49.2 KB · Views: 16
  • Screenshot_2025-12-24-18-41-12-042_com.sofascore.results-edit.jpg
    Screenshot_2025-12-24-18-41-12-042_com.sofascore.results-edit.jpg
    45.9 KB · Views: 20
meridian wamepunguza hizo changamoto siku hizi, sportbet ni nzuri sana ila shida haina mechi nyingi za table tennis, napenda table tennis sababu mchezo mzima hauchukui zaidi ya dk 20!!
Mwamba umetisha hutaki kusubiri subiri... unataka saa moja asubuhi ulikua unabeba sege unga limited kufika saa saba mchana umiliki jumba la kifahari pale Newyork.
 
Mkuu kuuliza sio ujinga. Screenshot ya namna hii unaichukuaje mpaka mkeka uonekane kwa urefu huu hadi mwisho? Naomba maelekezo mkuu.
Kuna set una ruhusu kwrnye eimu kisha uki screenshot inatokea bar kama hii pichani kwenye hivyo vimishare viwili kwrnda chini unavibonyeza hadi utakapo
 

Attachments

  • Screenshot_20251224-193400_Psiphon.jpg
    Screenshot_20251224-193400_Psiphon.jpg
    73 KB · Views: 16
  • Screenshot_20251224-193400_Psiphon.jpg
    Screenshot_20251224-193400_Psiphon.jpg
    72.4 KB · Views: 17
Dua zangu kwa Cameroon na Ivory coast.
 

Attachments

  • Screenshot_2025-12-24-20-25-41-934_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    Screenshot_2025-12-24-20-25-41-934_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    114.3 KB · Views: 18
  • Screenshot_2025-12-24-20-23-42-532_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    Screenshot_2025-12-24-20-23-42-532_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    116 KB · Views: 17
Back
Top Bottom