Hii kampuni inaitwake Mkuu msaada wakoOne day kanji nitamliza kwa jero tu
sportybetHii kampuni inaitwake Mkuu msaada wako
Sikukuu itakuwa nzuri kwako mkuuEgypt alitaka kuniuwa kwa presha leo,
Hii Afcon mpaka iishe wengine tutakonda.
Weka chuma hapo mkuuVipi wazee niweke hela hapa.
Tanzania ataconcede zaidi ya chuma mbili leo.
Al sadd naona hawafungan mpaka sasaHumu tuu 💪
😂 🙌 Wanakata mauono tu wanacheza na njuluku zetuAl sadd naona hawafungan mpaka sasa
firmino hataki kufunga😂 🙌 Wanakata mauono tu wanacheza na njuluku zetu
Senegal ina Top playersHii ni total dominance au unaweza kuita ubakaji katika soka. Mechi zote tunazobetia zingekua hivi basi tusingesumbuliwa na presha na matumbo joto wakati wa mechi.
On target 17-0 😭