itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
Chambua kwanza ueleweke kwamba utacheza rollover au!! . Na kama rollover ndio iwe hakuna siku ya kupigwa buti tu!! ,, Mimi binafsi nimewahi kucheza rollover ila mwisho ni siku tano tu nilifanikiwa an odds mbili kushuka chini mpaka odds 1.50,, na hata nikiwekeza kawaida pia odds Zangu huwa mbili kushuka chini hizo odds Tatu naona risk inazidi.Jamani kwanini tusitafute kila siku odds 3 kwa mtaji wa elfu kumi kwa wiki moja mtaji unafika mpka milioni 20