Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1222233444.JPG
Oya Mkeka huyo unaanza 21:30 hauchukui dk 20 kumalizika hela ya bure hiyo. #AtmThekingđź‘‘
 
Dah mkuu meridian nilikuwa naitumia lakini nimewakimbia saiv nipo tu sportybet,, an mtandao ulikuwa unasua sua Sana, pili ukitoa hela inachelewa kishenzi, nikaona nitembee na sportybet tu hawana mbambamba hata Chembe.
meridian wamepunguza hizo changamoto siku hizi, sportbet ni nzuri sana ila shida haina mechi nyingi za table tennis, napenda table tennis sababu mchezo mzima hauchukui zaidi ya dk 20!!
 
meridian wamepunguza hizo changamoto siku hizi, sportbet ni nzuri sana ila shida haina mechi nyingi za table tennis, napenda table tennis sababu mchezo mzima hauchukui zaidi ya dk 20!!
Unataka uwe unavuna hela ndani ya dakika 20 Betika nimewahi kuona table tennis
 
Back
Top Bottom