Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
PoleJana nimeruka ruka ila mjinga mmoja akanidungua
PoleJana nimeruka ruka ila mjinga mmoja akanidungua
Duh poke mkuu Mimi binafsi nachezaga odds mbili tu na inaweza kushuka hadi 1.70 au 1.60, kwahiyo nacheza humu tu odds mbili au kushuka chini ndio nawin,, matreni Sina bahati nayo hata kidogo.Mimi huwa nacheza matreni natia mia au mia mbili mwisho yaani nikiwekaga kuanzia jero kupanda hata kama ni timu moja sijawahi kutoboa sijui kwanini
52KYX2 ebu cheki hapa mkuuD
Duh poke mkuu Mimi binafsi nachezaga odds mbili tu na inaweza kushuka hadi 1.70 au 1.60, kwahiyo nacheza humu tu odds mbili au kushuka chini ndio nawin,, matreni Sina bahati nayo hata kidogo.
ewaaah ndio kama hivi an odds mbili kushuka chini ndio vitu vyangu52KYX2 ebu cheki hapa mkuu
Mkuu kama ukiliweka unikumbuke katika maokoto yako😁Yeaewaaah ndio kama hivi an odds mbili kushuka chini ndio vitu vyangu
😂 🙌 Kaka nipo break kidogo ningeweka isingekuwa shido,Mkuu kama ukiliweka unikumbuke katika maokoto yako😁
Mkeka ulichanika mkuu, ila baada ya Stutgart kupata goli moja nili cashout na kupata laki na 40 tuKwahiyo mkuu huu Ali lost?
Nafuu uliokoa chochoteMkeka ulichanika mkuu, ila baada ya Stutgart kupata goli moja nili cashout na kupata laki na 40 tu
Oi ukiandaa tena tren unitagMkeka ulichanika mkuu, ila baada ya Stutgart kupata goli moja nili cashout na kupata laki na 40 tu
Ipoje hii app?
Ngoja niweke hela hapa
Total booking points zinahesabiwaje mkuu?