Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa Ndio nagunduwa kuwa Hii mechi iko kwenye mikeka 2 iliyo baki na option ni hiyohiyo. Bora ni cashout halafu nisikilizie ule mmoja ambao ukishinda napata laki tatu na themanini. Ingawaje kanji ananishawishi ku cashout nichukuwe laki na sabini. Nisije nikakaza fuvu halafu hii timu ikaharibu mikeka yote 2View attachment 3515624
Kanji anapigika ila inahitaji uvumilivu.
Hakika inabidi roho mbaya Sana
 
Naona stuttgart anaongoza 3-0 dakika ya 89
Du ...h
Hapa Ndio nagunduwa kuwa Hii mechi iko kwenye mikeka 2 iliyo baki na option ni hiyohiyo. Bora ni cashout halafu nisikilizie ule mmoja ambao ukishinda napata laki tatu na themanini. Ingawaje kanji ananishawishi ku cashout nichukuwe laki na sabini. Nisije nikakaza fuvu halafu hii timu ikaharibu mikeka yote 2View attachment 3515624
Du huyu jamaa kafanya kosa kubwa sana hapo ...kuna somo nilitoaga hapa hapa JF kuhusu tukio kama la huyo jamaa la timu moja mkononi nadhani akuwepo?
 
1000056501.jpg
 
Betting inahitaji uwe nunda, yan ukipigwa we humo tu. Isiionee uchungu pesa, jua kwamba uwekezaji wowote unaweza kukupa hasara sio betting tu.

Mimi huwa sionei uchungu pesa. Ni kheri pesa yangu ale kanji ila sio iishie kwa mademu na pombe.
Yep ndio mkuu kila mtu Ashinde mechi zake anayehonga malaya ahonge na wawekezaji tuwekeze,. Hivo tu
 
Betting inahitaji uwe nunda, yan ukipigwa we humo tu. Isiionee uchungu pesa, jua kwamba uwekezaji wowote unaweza kukupa hasara sio betting tu.

Mimi huwa sionei uchungu pesa. Ni kheri pesa yangu ale kanji ila sio iishie kwa mademu na pombe.
Kwanini umetolea mfano wa mademu na pombe.! Jana nililewa sana na nikasepa na demu...
Nilitumia zaidi ya laki hapa na mtaji wa buku twenti nataka nibet walau kesho nisikose tena bar [emoji481]
 
Back
Top Bottom