itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
😂 🙌Kwanini umetolea mfano wa mademu na pombe.! Jana nililewa sana na nikasepa na demu...
Nilitumia zaidi ya laki hapa na mtaji wa buku twenti nataka nibet walau kesho nisikose tena bar [emoji481]