Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sunderland hii ina watu kaka
Akina Xhaka wako hapo
Ni kweli nawafatilia sana lakini hawatatoboa mechi Yao ya mwisho wamecheza Dec 6 wiki kama tatu zilizopita na Sunderland alipigwa 3 bila kama we n mdau wa FPL utanielewa zaidi... City anashinda asubuhi kabisa
 
Sikuu lazima ilike tu

681NXK
 
Attachments

  • Screenshot_20260101-131139_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260101-131139_SportyBet.jpg
    64.9 KB · Views: 12
Ni kweli nawafatilia sana lakini hawatatoboa mechi Yao ya mwisho wamecheza Dec 6 wiki kama tatu zilizopita na Sunderland alipigwa 3 bila kama we n mdau wa FPL utanielewa zaidi... City anashinda asubuhi kabisa
Kama unaangalia matokeo kwa jicho hilo i doubt your football knowledge.

Mimi sipo upande wowote ila nachojua Sunderland ni wagumu sana wakiwa kwao, hawajapoteza hadi sasa kwenye uwanja wao wa nyumbani.

City walishinda comfortably 3-0 wakiwa nyumbani.. km unafuatilia mpira vizuri utakua unaelewa home advantage ilivyo na nafasi kubwa kwenye mpira wa sasa.

Sasa energy waliyonayo City pale Etihad, leo wanayo Sunderland kwenye uwanja wa Stadium of Light.

Kwa kifupi leo sitaki nijihusishe na City. Ila kwa possibility ya ushindi City anayo kubwa, ila usiwe confident kupitiliza.
 
Ni kweli kabisa ila tukitumia kigezo cha uwezo na malengo ya timu City n favorite
 
Back
Top Bottom