Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Juve Katukosesha Milion 3!
1000066810.jpg
 
Tusikate tamaa 😇😇 siku moja tuta sikia paaa unapata mtaji wa maana 💥 tena siku yenyewe usikute ndiyo huu mkeka😁 adriz FaizaFoxy Jagina Mufti kuku The Infinity Covax Malaria 2 wachaneni na ujinga wa jiwe jeusi njoo mpige pesa ...pesa za kuombaomba kwa baressa siyo nzuri baressa siyo mtu mzuri ...anadukua vijambio vya maustaz.

5HT1X2
 

Attachments

  • Screenshot_20260104-111130_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260104-111130_SportyBet.jpg
    64.4 KB · Views: 20
Maana na option ya booking kwenye kuchagua option kwenye mikeka
Bookings ni idadi ya points badala ya idadi ya cards za njano na nyekundu zitakazopatikana ndani ya dk. 90

Yellow cards moja inasimama sawa na Booking point 10
Red card ina Booking point 25.


Mchezaji mmoja akipewa yellow card 2 zinazopelekea kupewa red card, yellow card ya pili haitahesabika, itakayohesabiwa ni yellow ya kwanza Point 10+ red card point 25- jumla inakuwa point 35 kwa mchezaji aliepewa red card baada ya kuonyeshwa card ya pili ya njano!

Ila Red card plain(kavu) yenyewe ni point 25 tu.


I hope nimeeleweka, I stand to be collected.
 
Back
Top Bottom