StreetMindTZ
Member
- Jan 5, 2026
- 62
- 154
Tumia Lugha Ya Kiswahili Vizur... Kosa Lng Nn 🙏Mnaomba mtaji wa kubeti wote wapumbavu..kwanini uombe mtaji? Ili uliwe hela ambayo hujaitolea jasho? Ili isikuume? Pumbavu kabisa!
Tumia Lugha Ya Kiswahili Vizur... Kosa Lng Nn 🙏Mnaomba mtaji wa kubeti wote wapumbavu..kwanini uombe mtaji? Ili uliwe hela ambayo hujaitolea jasho? Ili isikuume? Pumbavu kabisa!
Acha uvivu wa fikira na ubongoTumia Lugha Ya Kiswahili Vizur... Kosa Lng Nn 🙏
Acha uvivu..kachimbe mitaro upate mtaji“Uvivu wa kufikiri ni kudhani kauli kali ni hoja. Jaribu hoja, si kejeli.”
Uyo mtoto pimbi kweliMnaomba mtaji wa kubeti wote wapumbavu..kwanini uombe mtaji? Ili uliwe hela ambayo hujaitolea jasho? Ili isikuume? Pumbavu kabisa!
Kama kuchimba mitaro ni rahisi, ungekuwa tajiri muda mrefu. Mtaji haupatikani kwa dharauAcha uvivu..kachimbe mitaro upate mtaji
Unathibitisha upumbavu wako. Mimi nani katumia lugha ya kiswahili vibaya? Check ulivyoniquote kwanza!Tumia Lugha Ya Kiswahili Vizur... Kosa Lng Nn 🙏
Kwa akili hizi endelea kuombaomba hela kwa wanaume!Kama kuchimba mitaro ni rahisi, ungekuwa tajiri muda mrefu. Mtaji haupatikani kwa dharau
Oyaaa Aliesema umekufa amekufa yeyeKumekucha. Leo ni siku nyingine ya kuliwa na kula; hebu leteni hiyo mikeka tukopi basi wazee.
đź’ŞMnazingua kweli
Huu ukurasa ni wa Mikeka
Mipasho ipo ukirasa mwingine
Hembu potezeaneni kila mtu ashike lake
Na huu kama kifungashio.Unaandaa vizuriiiiiii, baadae Sasa.
Hapa labda utie mpunga mrefu, ukipiga umepiga ukipigwa umepigwa.Unaandaa vizuriiiiiii, baadae Sasa.
Huu natembea nao.