Wataalamu wa hesabu za mikopo saidia hapa

Wapi sieleweki mkuu!? Mshahara wangu unaruhusu makato ya tsh.100,000,,,nataka mkopo wa miaka 10 katika benki yenye riba ya 17% na bima wanakata 1% kwq mkupuo,,,,, je nitapata sh ngapi uki culculate!?
Kopo Hela ndogondogo Kwa miaka michache michache.

Halaf kuwa muwazi usaidiwe usije kujuta baadae
 
Wapi sieleweki mkuu!? Mshahara wangu unaruhusu makato ya tsh.100,000,,,nataka mkopo wa miaka 10 katika benki yenye riba ya 17% na bima wanakata 1% kwq mkupuo,,,,, je nitapata sh ngapi uki culculate!?
Kumbuka hiyo 17% siyo kwa miaka hiyo10. Kwa muda huo wa miaka riba inaweza kufika 💯
 
Wapi sieleweki mkuu!? Mshahara wangu unaruhusu makato ya tsh.100,000,,,nataka mkopo wa miaka 10 katika benki yenye riba ya 17% na bima wanakata 1% kwq mkupuo,,,,, je nitapata sh ngapi uki culculate!?
Hapo utapata kama Milioni 4 na point hivi
 
Back
Top Bottom