umeeleweka vema. Ingia kwenye google tafuta loan calculator...kila kitu kipo humo!Wapi sieleweki mkuu!? Mshahara wangu unaruhusu makato ya tsh.100,000,,,nataka mkopo wa miaka 10 katika benki yenye riba ya 17% na bima wanakata 1% kwq mkupuo,,,,, je nitapata sh ngapi uki culculate!?
Asilimia 17 miaka kumi = 170%
Kama ukikopa milioni 5 basi utalipa faida ya 8.5M na jumla itakuwa = 5M + 8.5M = 13.5M
Kifupi achana na mikopo ya muda mrefu.
ok,Zaidi ya miaka mitano
KUMBUKA kuwa marejesho ya benki yanajumuisha mkopo wenyewe (principal) + faida ya benki ( interest)Rejesho kwa mwezi 100,000/-, kwa mwaka 1,200,000/- kwa miaka kumi ni 12,000,000/-
12M ni 170% kwa miaka 10 ?
exactlyHapo utapata kama Milioni 4 na point hivi
7.5m zinaenda Kwa bank na bonus ya afisa mkopo Kwa kazi nzuri ya kumdanganya mteja akope Kwa miaka 10 ndo nafuuKUMBUKA kuwa marejesho ya benki yanajumuisha mkopo wenyewe (principal) + faida ya benki ( interest)
Kwa miaka kumi riba ya mkopo itakuwa 170% + mkopo wenyewe ni sawa na 100% na jumla kuu ni 270%.
HESABU urahisi ni kwamba pesa atakayopata ni ( 100Γ· 270) Γ 12,000,000 ambayo haitazidi milioni 4.5
Present Value Interest Factor of Annuity!!Makato ya mkopo tsh 100,000,,,,muda: miaka 10 ,,,,,riba 17% na bima 1% ikatwe kwa mkupuo
Ulikurupuka uliza kwanza usidanganywe na wingi WA Hela wanzokupa HAO ni wezi waliohalalishwaNimekopa milioni 2 nakatwa elfu 60 na point nimepiga hesabu hawa jamaa nitawarudishia kama 6M hivi
Nilikua nataka kununua iPhoneUlikurupuka uliza kwanza usidanganywe na wingi WA Hela wanzokupa HAO ni wezi waliohalalishwa
πππNilikua nataka kununua iPhone
Hajaenda nje ya mada thats best reply ever.Wtz ndo nchi yetu maskini kwqnini unaenda nje ya mada!? Kama hesabu hujui acha tu mkuu.
Yako au ya demu?Nilikua nataka kununua iPhone