Wataalamu wa hisabu na sisi wenye D tusaidiane kupata majibu hapa

Wataalamu wa hisabu na sisi wenye D tusaidiane kupata majibu hapa

Meneja CoLtd

Senior Member
Joined
Mar 6, 2021
Posts
122
Reaction score
143
Wadau katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na jambo, naliwasilisha kwenu wanajukwaa tujue lipi ni jibu sahihi hapa?
IMG-20240525-WA0000.jpg

*wajasiriyamali msisahau kutembelea posting yangu ya Tanzania Tuitakayo Nimewawekea Madini, Nenda Kasome Uje Kunishukuru hapa
 
Nakumbuka hayo maswali ni ya darasa la sita (magazijuto)
Jibu hapo ni B
Ila sikulaumu kwa kuwa Waalimu wahesabu huko chini pengine ni 10% ya mahitaji na hivyo kuaminisha watoto kuwa hesabu ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom