Meneja CoLtd Senior Member Joined Mar 6, 2021 Posts 122 Reaction score 143 May 25, 2024 #1 Wadau katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na jambo, naliwasilisha kwenu wanajukwaa tujue lipi ni jibu sahihi hapa? *wajasiriyamali msisahau kutembelea posting yangu ya Tanzania Tuitakayo Nimewawekea Madini, Nenda Kasome Uje Kunishukuru hapa
Wadau katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na jambo, naliwasilisha kwenu wanajukwaa tujue lipi ni jibu sahihi hapa? *wajasiriyamali msisahau kutembelea posting yangu ya Tanzania Tuitakayo Nimewawekea Madini, Nenda Kasome Uje Kunishukuru hapa
Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,092 Reaction score 5,386 May 25, 2024 #2 Nakumbuka hayo maswali ni ya darasa la sita (magazijuto) Jibu hapo ni B Ila sikulaumu kwa kuwa Waalimu wahesabu huko chini pengine ni 10% ya mahitaji na hivyo kuaminisha watoto kuwa hesabu ni ngumu sana
Nakumbuka hayo maswali ni ya darasa la sita (magazijuto) Jibu hapo ni B Ila sikulaumu kwa kuwa Waalimu wahesabu huko chini pengine ni 10% ya mahitaji na hivyo kuaminisha watoto kuwa hesabu ni ngumu sana
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,111 Reaction score 53,092 May 25, 2024 #3