Wataalamu wa IST naomba calculations hapa

Wataalamu wa IST naomba calculations hapa

watu wengine wanaanzisha mada ili waonekane wana vitu fulani hivi unaulizia full tank ya ist uchafu huo kua ni lita ngapi sasa ukija kwenye nissan fuga si utapagawa ww kitu cha cc3k+ heb tusijiaibishe ukiweza google kimya kimya mahesabu hayadanganyi ila huwez kuwa na gar usijue inajaa tank kwa lita ngapi ulimbukeni alaf ist sio gari ya safari kama vp tafta hata hilux v8 jeep nissan safari or patrol ist ni kagar ka madem na hakatakiwi kaende zaidi ya km 100
 
IST inatumia mafuta kiasi gani kwa safari ya kutoka Arusha Mpaka Marangu? Kwa google map ni takribani km 119. Kwahiyo kwenda na kurudi ni km 238+. Je hapo zinahitajika lita ngapi?
Yaani IST unaipigia gharama za mafuta!

Wewe panda Basi tu, huna uwezo wa kwenda safari ndefu kwa gari lako.
 
Back
Top Bottom