Nina hofu kubwa mkuu kwamba atarudisha hizo fedha mkuu,najua hasara zipo ila mkuu kiasi hicho no kikubwa kwa mwanzaji na hana experience na kilimo hicho na anaulizia tu wakulima wengine.KAKA USIMKATISHE TAMAA,HATA TIKITI ZINALIPA SANA TU...ILA KWA BAJETI HIYO MSHAURI ALIME NYANYA..NHEE MKUU UTAKUJA NISHUKURU.
Kilimo kinategemea sana lini unavuna ili kupunguza risk ya hasara alime matikiti,nyanya na hoho/carots ili asikose koteNina hofu kubwa mkuu kwamba atarudisha hizo fedha mkuu,najua hasara zipo ila mkuu kiasi hicho no kikubwa kwa mwanzaji na hana experience na kilimo hicho na anaulizia tu wakulima wengine
Kilimo hakitabiriki. Unaweza kushangaa akapiga hela ndefu kwenye hayo matikiti mkabaki midomo wazi.Ameshalima hayo matikiti