The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Wazo zuri, naunga mkono hoja.Binafsi naungana na Huyu jamáa.
1. Mbegu za asili zimepotea...
Afrika tunachokosa ni viongozi wenye akili na mfump bora wa elimu.Binafsi naungana na Huyu jamaa.
1. Mbegu za asili zimepotea.
2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu.
3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo.
4. Matokeo yale watu wamekuwa watumwa wa kununua mbegu kila msimu.
5. GMO zinashambuliwa sana na wadudu kwa hiyo kuna utumwa wa kununua fertilizers (mbolea).
6. Sina uhakika kama GMO ni bora kwa afya.
7. Kingine, GMO ukiangalia kwa umakini zinapunguza fertility ya aridhi.
Wataalamu wa kilimo mtusaidie, nini kimepelekea mbegu zetu za asiki kuonekana hazifai mbele ya GMO?
View attachment 2433162
Hatari tupu, saivi funza wanatafuna mazao kama hawana akili.Hivi hakuna mkoa wenye Yale maindi ya asili tujaribu kuyalima kama tatatoa maana haya ya dukani ni mateso unapiga shamba dawa mpk unalihurumia
Nadhani Sasa niwakati wa kurudi kwenye asili mm hata nikipata punje 5 tu za maindi ya asili zitanitosha kuanza kuzirejesha maana nitazilima mpaka nipate mbegu ya kutoshaHatari tupu, saivi funza wanatafuna mazao kama hawana akili.
Unapuliza dawa Hadi zinakuasili kiafya
Wataalamu wa kilimo mtusaidie, nini kimepelekea mbegu zetu za asiki kuonekana hazifai mbele ya GMO?Binafsi naungana na Huyu jamaa.
1. Mbegu za asili zimepotea.
2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu.
3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo.
4. Matokeo yale watu wamekuwa watumwa wa kununua mbegu kila msimu.
5. GMO zinashambuliwa sana na wadudu kwa hiyo kuna utumwa wa kununua fertilizers (mbolea).
6. Sina uhakika kama GMO ni bora kwa afya.
7. Kingine, GMO ukiangalia kwa umakini zinapunguza fertility ya aridhi.
Wataalamu wa kilimo mtusaidie, nini kimepelekea mbegu zetu za asiki kuonekana hazifai mbele ya GMO?
View attachment 2433162
Sawa hujajibu hoja hiziWataalamu wa kilimo mtusaidie, nini kimepelekea mbegu zetu za asiki kuonekana hazifai mbele ya GMO?
1.Kila mkulima mzalishaji anataka /angependa avune kingi zaidi katika shamba lake analolima. Kwa kutumia GMO mkulima anafikia lengo hilo japo sio kwa 100%
2. Mkulima yeyote anapenda afikie mazao (mavuno) ndani ya muda mfupi. Kwa kutumia GMO mkulima anafikia lengo hilo japokuwa atasumbuka kidogo. Usisahau kwamba kufaulu kibiashara ni pamoja na kuwahi sokani.
Kwa ufupi ni kwamba "Kila kilicho chema hakikosi gharama"
Kusini zipo nyingi, zinavumilia magonjwa, ukame na hata hali ya magugu. Pia gamba lake imaraNadhani Sasa niwakati wa kurudi kwenye asili mm hata nikipata punje 5 tu za maindi ya asili zitanitosha kuanza kuzirejesha maana nitazilima mpaka nipate mbegu ya kutosha
Binafsi naungana na Huyu jamaa.
1. Mbegu za asili zimepotea.
2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu.
3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo.
4. Matokeo yale watu wamekuwa watumwa wa kununua mbegu kila msimu.
5. GMO zinashambuliwa sana na wadudu kwa hiyo kuna utumwa wa kununua fertilizers (mbolea).
6. Sina uhakika kama GMO ni bora kwa afya.
7. Kingine, GMO ukiangalia kwa umakini zinapunguza fertility ya aridhi.
Wataalamu wa kilimo mtusaidie, nini kimepelekea mbegu zetu za asiki kuonekana hazifai mbele ya GMO?
View attachment 2433162
Because we are what we eat. Ntakubali kuna mchango labda miili itaiga maana biological clock inasomama na mazingira zaidi kuliko ule muda ideally wa mashine(saa)Sio ajabu matoto ya 2000 yanaonekana kuzeeka, hindi lililotakiwa kukomaa kwa miezi 6 linakomaa miez 2 linaliwa anaekula atakomaa kwa miez 2.
Kuku wakuliwa miez 6 anakomaa wiki 2 ya 3 analiwa, atakae kula atakomaa kwa wiki 2. Mwembe wakukua na kutoa matunda baada ya miaka 4-6 utakua kwa miez 6 na utatoa matunda, bint atakae kula hilo tunda ataota matiti at 9 yrs. New world s comin
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Wapi huko?Local seed bado zipo mbona