Wataalamu wa kuelewa vibonzo, hiki kibonzo kina ujumbe gani?

Wataalamu wa kuelewa vibonzo, hiki kibonzo kina ujumbe gani?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1631164604290.png
 
Kule mbele ni kama bahari, sijui wanajua kuogelea?
 
kiongoz wetu wa nyumba kumi hapa kijijini nimegundua yeye ni msimamiz tu kumbe kiongoz ni mwingine na hajulikan. ndo maana na onaga li V9 kubwa lina mavioo meusi na plate number sio ya inchi yii!!kumbe ndo kiongoz ebooo!! masikin asie hata pesa kidogo ya kodi mmoja akasema
kumbe haina haja ya kupiga kuraa

Kuangalia pemben beberu mmoja akatikisa kichwa akasema lait wangejua na huku nasi twafanana kwa rangi tu bali si tabia ingewasaidia
 
Back
Top Bottom