Wataalamu wa kuelewa vibonzo, hiki kibonzo kina ujumbe gani?

Wataalamu wa kuelewa vibonzo, hiki kibonzo kina ujumbe gani?

Kuna alieshika na kuna steering na kuna anaeendesha. Maana yake kuna alievaa sura ya uongozi wa nchi/taasisi lakin kuna mwingne nyuma yake aneendesha/kuongoza hiyo taasisi/nchi kwa kumtumia kwa kumtumia huyo alievaa sura ya uongozi
 
Inamaanisha mama yenu ameshika tu usukani lakini dereva halisi sio yeye kuna jitu linaongoza nchi
 
Back
Top Bottom