COMOTANG JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 2,131 Reaction score 1,821 Sep 9, 2021 #21 Tk01 said: Alafu ni mwanaume mwenye nguvu kabisa Click to expand... Alafu = Halafu
Patra31 JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 6,918 Reaction score 13,885 Sep 9, 2021 #22 Kuna alieshika na kuna steering na kuna anaeendesha. Maana yake kuna alievaa sura ya uongozi wa nchi/taasisi lakin kuna mwingne nyuma yake aneendesha/kuongoza hiyo taasisi/nchi kwa kumtumia kwa kumtumia huyo alievaa sura ya uongozi
Kuna alieshika na kuna steering na kuna anaeendesha. Maana yake kuna alievaa sura ya uongozi wa nchi/taasisi lakin kuna mwingne nyuma yake aneendesha/kuongoza hiyo taasisi/nchi kwa kumtumia kwa kumtumia huyo alievaa sura ya uongozi
J Janja weed JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 3,000 Reaction score 5,606 Sep 9, 2021 #23 Inamaanisha mama yenu ameshika tu usukani lakini dereva halisi sio yeye kuna jitu linaongoza nchi