Wataalamu wa lugha ya kingereza msaada kwenye tuta

Wataalamu wa lugha ya kingereza msaada kwenye tuta

Du! Kumbe ng'ombe aweza mcheka ngamia nundu au mbwa kumcheka mbwa mwitu!!! Kidhungu kweli taabu wanangu.
Tanzania elimu ni majanga. Siyo english tu ni kila somo. Waalim ni vilaza halafu wanazalisha wanafunzi vilaza. Ume-note kuwa hata hapa watu wanakosea? Haya mambo tulisoma darasa la tatu nadhani na tulikuwa tunayazingatia kweli kweli.
 
Moja ya rule kwenye subject -verb agreement ni kwamba plural subject inaenda na plural verb(kwahiyo sentensi ya kwanza ticha kaenda chaka subject ni plural na katumia verb singular)

Hii ilikuwa ni story au ni sentensi mbili zinajitegemea au picha umekamata kipande kidogo?

Hii sentensi ya pili ina makosa ya semantics na syntax pia.Punctuation mbovu yani sentensi ya pili unashindwa kuelewa kaitoa dunia gani au ni mwendelezo wa story sio?
 
Sentensi ya pili mwalimu yupo sawa.
IMG-20250310-WA0004.jpg
 
Maghayo toa majibu na uchambuzi wa kiutalamu kusapoti majibu yako nikuone kweli wewe mwamba.
 
Hannah njoo uokoe jahazi huku.
Tutoe porini watu wa Kayumba tumezungukwa na Simba wakali.
 
Back
Top Bottom