Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau wanaojua vizuri mawe naombeni Msaada wa makadilio haya mawe naweza kununua kwa wastani wa bei gani ili nikapate faida sokoni.View attachment 1814537
Yes aisee, sasa mkuu uko wapi? Nina connection ya soko.Ni green tourmaline mkuu
Nimegoogle ni hela ndefu,, gram 20, inakwenda hadi 1.2 M.Haya si zaidi ya kilo mbili hiyo ni pesa ndefu sana kama ni yenyewe
Nje ya dhahabu gram tu haidetermine bei ya madini. Ukubwa wa madini, mng'ao wake na quality ni jambo muhimu katika madini mengine. Yani unaweza nunua mfano ruby kipande cha ukubwa flani chenye carat kadhaa kwa pesa nyng sana halafu ukanunua ruby vipande vya ruby vidogo vidogo vingi vyenye uzito zaidi ya hiyo kwa bei ya kutupa.Nimegoogle ni hela ndefu,, gram 20, inakwenda hadi 1.2 M.
Aisee asante sana umeniokoa mzee, So kulitambua jiwe Pure natakiwa nizingatie nini wakati wa kulikagua? Pia Nitashukuru Sana Ukiniambia bei ya kilo kulingana na hayo unayoyaona hapo naweza kununua kwa kiasi gani.Mkuu hio ni green tourmaline ingawa naona quality yake ni very poor. Kwa quality hiyo km una nia yakununua bas yachukue kwa bei ya kg na sio kwa grams. Lakin kabla yakununua hem chek ofis ya madin ilio karibu nawe upate update ya Bei ilio sokon au pia wanakuaga na buyers wakakuunganisha.
Option nyingine, chukua vipisi kadhaa Kama sample (bila kulipia)then nenda mitaa ya Morocco dsm pale hua Kuna wahindi wananunua kwa kgs, watakupa Bei ya soko.