Wataalamu wa madini, naweza kununua haya mawe kwa shilingi ngapi na kupata faida?

Aisee Biashara hizi ukienda kichwa kichw aunapigwa, Shukiru sana huyo jamaa hapo aliekupa utaalam
 
Ukitataka tukupe bei unaweka picha kama hiyo unaweka na grams , yote kwa ubobezi wangu nakisia gram 130 hayo ni low quality usitoe zaidi ya laki 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…