Wataalamu wa Madini/wafanya biashara za madini

Ismoo

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
1,101
Reaction score
1,573
Wakuu natumai mko poa, Mwenyezi Mungu anaendelea kutuwezesha kuwepo mpaka wakati huu.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, Bila kuwachosha nina wazo la kufanya biashara ya madini ila sijui nianzie wapi sija wahi kuifanya.

Ninacho kifahamu kuhusu madini ni mahali yanapo patikana basi... kuhusu thamani, ubora mahali paku uzia, faida yake inapatikanaje/hasara sijui. Pia taratibu zakufuata kama nikitaka kununua na kuuza zinakuwaje sizifahamu, nahitaji msaada wenu.

NB: nina mtaji mdogo sana 1.5M [emoji22] sijui kama itawezekana ila nina amini humu Jf kuna watu wengi sana wajuzi wa mambo mbali mbali nina imani nitapata ABC,S.. nipate pakuanzia.

Natanguliza shukrani za dhati kwenu kwa yeyote atakaye wiwa kunipa ushauri, Niwatakie jioni njema ndugu zangu. [emoji120]
 
Upo mkoa gani?
 
1. Uko mkoa gani: ukijibu hili nitakuambia aina ya madini yanayopatika mkoani kwako au karibu yako

2. Jiwe zuri lina sifa Nne kubwa: size, Shape colour, na clearity
Size: ukubwa., shape: umbo., colour: rangi, na clearity ungaavu

3. Kwa yale madini yanaitwa precious stones, ruby, emerald, alexandrite, saphire, na hata Tanzanite-pamoja na kwamba siyo precious, jiwe lake hata la chini ya gram moja ina dhamani

4. Kwa madini ambayo siyo precious kama rhodolite, almandite, amethyst, scapolite, tourmaline, zircon, green garnet, iolite, hessonite, etc lazima yawe 1 gram na zaidi ili upate soko la uhakika

5. Unaweza kujifunza aina za madini kwa kuyaona kwa wachimbaji walioko mkoani mwako

6. Masoko ya madini yapo ya serikali nafikiri kila mkoa. Masoko ya nje hasa thailand, india, china, South Africa etc

7. Karibu kwenye madini. Elewa kwamba kwa hiyo 1.5m yako ukinununua ni nafuu zaidi kuliko kuchimba
 
Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta
 
Daaah asante sana kaka umefafanua vizuri ( napatika na mkoa wa Dar es salaa)
 
Wakuu natumai mko poa, Mwenyezi Mungu anaendelea kutuwezesha kuwepo mpaka wakati huu.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, Bila kuwachosha nina wazo la kufanya biashara ya madini ila sijui nianzie wapi sija wahi kuifanya.

Ninacho kifahamu kuhusu madini ni mahali yanapo patikana basi... kuhusu thamani, ubora mahali paku uzia, faida yake inapatikanaje/hasara sijui. Pia taratibu zakufuata kama nikitaka kununua na kuuza zinakuwaje sizifahamu, nahitaji msaada wenu.

NB: nina mtaji mdogo sana 1.5M [emoji22] sijui kama itawezekana ila nina amini humu Jf kuna watu wengi sana wajuzi wa mambo mbali mbali nina imani nitapata ABC,S.. nipate pakuanzia.

Natanguliza shukrani za dhati kwenu kwa yeyote atakaye wiwa kunipa ushauri, Niwatakie jioni njema ndugu zangu. [emoji120]
Upo tayari Kufa ?
 
Hata usipokuwa tayari hakuna anayejua saa ya kufa na kila mtu atakufa pamoja na wewe na mimi
Sio kwamba nataka jibu, the Question was rhetorically, tumepoteza innocents souls nyingi kwenye mashimo mengi Lwamgasa hasa hawa wakuja.
 
Wakuu natumai mko poa, Mwenyezi Mungu anaendelea kutuwezesha kuwepo mpaka wakati huu.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, Bila kuwachosha nina wazo la kufanya biashara ya madini ila sijui nianzie wapi sija wahi kuifanya.

Ninacho kifahamu kuhusu madini ni mahali yanapo patikana basi... kuhusu thamani, ubora mahali paku uzia, faida yake inapatikanaje/hasara sijui. Pia taratibu zakufuata kama nikitaka kununua na kuuza zinakuwaje sizifahamu, nahitaji msaada wenu.

NB: nina mtaji mdogo sana 1.5M [emoji22] sijui kama itawezekana ila nina amini humu Jf kuna watu wengi sana wajuzi wa mambo mbali mbali nina imani nitapata ABC,S.. nipate pakuanzia.

Natanguliza shukrani za dhati kwenu kwa yeyote atakaye wiwa kunipa ushauri, Niwatakie jioni njema ndugu zangu. [emoji120]
Kwa pesa hyo ni ndogo ila naweza kukusaidia kitu mimi naishi morogoro ila nipo na rafiki yangu tumefungua mwalo geita wa kuoshea unga wa dhahabu ili mwisho tuje kupiga pesa kwenye rundo la udongo unaobaki baada ya unga kuoshwa wa wateja au mzigo wetu binafsi wa mawe au felo, so hapo kama unataka kufanya biashara naweza kukupa kampani njoo na pesa yako utafute scale (mzani) kwa ajili ya kupimia dhahabu na kitu kikubwa ambacho utakuwa unafanya ni kudhamini wateja mizigo yao kwa kulipa usafiri na ushuru kwa uongozi wa mgodi hivyo mteja akimaliza process ya mzigo wake ni kwamba dhahabu atakuuzia wewe uliye mdhamini na wewe utakata pesa yako ya udhamini then utampatia pesa iliyobaki mbapo 1gm ya dhahabu utanunua kwa 100,000/=TZS na ukienda jikoni (sokoni) utauza kwa 125,000/=TZS na zaidi kulingana na bei ya soko kwa siku hyo.
Kikubwa ni kwamba, utafanya biashara hii kwa kupitia mwalo wetu ila bila hivyo ukisema uanze alone pesa yote itaishia kweny vibali serikalini.

Ukiwa na njaa ya kazi mtaji wako ndani ya mwezi utakuwa mara mbili yake na safari itaendelea zaidi ya kuiona kesho yako.

Uelewa wote kuhusu dhahabu utaupata ukiwa kwenye uwanja wa mapambano kuanzia inavyotoka chini adi kufika hatua ya mwisho tayar kwa matumizi yake maalumu.

NB: Bishara ya madini iko na faida sana kwa wanaofanya kikubwa kumbuka kufunga zipu kweny hii biashara.

Kwa yeyote anaetaka kufanya hii biashara ya dhahabu karibu sana na pia kama unataka kuwa partner yani kuungana na sisi katika rundo la udongo wa dhahabu karibu ntakupa maelekezo then taratibu za kisheria zitafuata mambo yatakaa sawa na tunahitaji partner mmoja tuu na uwe na pesa ya kazi syo maneno. 0768542608
 
AKS 2020 LONG RANG UNDER GROUND GOLD DETECTOR
1160ad8f-8ba9-41a1-aa0a-9b6c6ce46227.jpg
 
IMG_3248.jpg

GOLD METAL DETECTOR
cc0f0237-e261-4483-8ea4-9aea388e536a.jpg
Kama utahitaji hivi vifaa vya kupigia kazi njoo PM tufanye biashara
 
Kwa pesa hyo ni ndogo ila naweza kukusaidia kitu mimi naishi morogoro ila nipo na rafiki yangu tumefungua mwalo geita wa kuoshea unga wa dhahabu ili mwisho tuje kupiga pesa kwenye rundo la udongo unaobaki baada ya unga kuoshwa wa wateja au mzigo wetu binafsi wa mawe au felo, so hapo kama unataka kufanya biashara naweza kukupa kampani njoo na pesa yako utafute scale (mzani) kwa ajili ya kupimia dhahabu na kitu kikubwa ambacho utakuwa unafanya ni kudhamini wateja mizigo yao kwa kulipa usafiri na ushuru kwa uongozi wa mgodi hivyo mteja akimaliza process ya mzigo wake ni kwamba dhahabu atakuuzia wewe uliye mdhamini na wewe utakata pesa yako ya udhamini then utampatia pesa iliyobaki mbapo 1gm ya dhahabu utanunua kwa 100,000/=TZS na ukienda jikoni (sokoni) utauza kwa 125,000/=TZS na zaidi kulingana na bei ya soko kwa siku hyo.
Kikubwa ni kwamba, utafanya biashara hii kwa kupitia mwalo wetu ila bila hivyo ukisema uanze alone pesa yote itaishia kweny vibali serikalini.

Ukiwa na njaa ya kazi mtaji wako ndani ya mwezi utakuwa mara mbili yake na safari itaendelea zaidi ya kuiona kesho yako.

Uelewa wote kuhusu dhahabu utaupata ukiwa kwenye uwanja wa mapambano kuanzia inavyotoka chini adi kufika hatua ya mwisho tayar kwa matumizi yake maalumu.

NB: Bishara ya madini iko na faida sana kwa wanaofanya kikubwa kumbuka kufunga zipu kweny hii biashara.

Kwa yeyote anaetaka kufanya hii biashara ya dhahabu karibu sana na pia kama unataka kuwa partner yani kuungana na sisi katika rundo la udongo wa dhahabu karibu ntakupa maelekezo then taratibu za kisheria zitafuata mambo yatakaa sawa na tunahitaji partner mmoja tuu na uwe na pesa ya kazi syo maneno. 0768542608

Ni vyema asidhamini hao wapiga ukware aka fero...kama una mwalo mkaribishe tu hapo wakishaosha anakuwa na mizani yake ananunua mzigo then anapeleka jikoni..

Kwa kuanza aanzie na 700K (laki saba) akiamua kukomaa polini hakosi 50K /per day..
jambo zuri umeamua kuwa mwenyeji wake kwa hiyo anapakuanzia tayari..

Hao wapiga ukware watamtia hasara kwa kuanzia aachane nao kwanza, ajikite mwaloni kununua tu wakishaosha...
 
Back
Top Bottom