Ismoo
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,101
- 1,573
Wakuu natumai mko poa, Mwenyezi Mungu anaendelea kutuwezesha kuwepo mpaka wakati huu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, Bila kuwachosha nina wazo la kufanya biashara ya madini ila sijui nianzie wapi sija wahi kuifanya.
Ninacho kifahamu kuhusu madini ni mahali yanapo patikana basi... kuhusu thamani, ubora mahali paku uzia, faida yake inapatikanaje/hasara sijui. Pia taratibu zakufuata kama nikitaka kununua na kuuza zinakuwaje sizifahamu, nahitaji msaada wenu.
NB: nina mtaji mdogo sana 1.5M [emoji22] sijui kama itawezekana ila nina amini humu Jf kuna watu wengi sana wajuzi wa mambo mbali mbali nina imani nitapata ABC,S.. nipate pakuanzia.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu kwa yeyote atakaye wiwa kunipa ushauri, Niwatakie jioni njema ndugu zangu. [emoji120]