Wataalamu wa Madini/wafanya biashara za madini

Kaka Mimi nahitaji maelekezo zaidi kuusu hii biashara ya madini kwa vile umeweka namba nitakutafuta
 
MKUU mpo wapi nyinyi, Mimi NAMI napiga hizo ishu, nipo nyarugusu GEITA
 
Sio kwamba nataka jibu, the Question was rhetorically, tumepoteza innocents souls nyingi kwenye mashimo mengi Lwamgasa hasa hawa wakuja.
Halafu kama umesoma na kuelewa vizuri huu uzi, gakuna mahali nilipo sema nataka kuchimba yaani kuzamia shimlni, ninachotaka mimi ni kununua madini yakuwa tayari.
 
Daaaah...! sawa kaka hapo nimekuelewa vilivyo nashukuru sana bakupigia
 
Ebwana umetisha sanaaa...! Nazidi kupata nondo za kuanzia [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Swali la msingi sana..maisha ya machimboni ni hatari tupu..huku majambazi..huku makahaba..huku kudondokewa duara...yani acha tu.

#MaendeleoHayanaChama

hizo ni risk tu ambazo kila kazi duniani pia inazo..
vingi hapo vinazuilika na vinakuhitaji wewe wenyewe..

suala la makahaba ni wewe na genye zako.
majambazi hapo ni Mungu na wewe, jifunze kutokaa na hela nyingi zaidi ya zile unazozihitaji.

Kuanguka maduara hapo hakuna namna ni kuomba Mungu tu na kama mwanaume haiepukiki hiyo, bila risk hakuna hela...
 
Mara nyingi wanaotishaga wenzao unakuta hata hiyo kazi hawajawahi kuifanya wanasikiaga tu maneno ya vijiweni
 
Swali la msingi sana..maisha ya machimboni ni hatari tupu..huku majambazi..huku makahaba..huku kudondokewa duara...yani acha tu.

#MaendeleoHayanaChama
Na awe makini sana kufunga zipu, Maana makahaba huku wapo wengi sana aisee, na wengine ni Warembo haswa
 
Na awe makini sana kufunga zipu, Maana makahaba huku wapo wengi sana aisee, na wengine ni Warembo haswa
makahaba hawanipati kama kunipata basi wangenipata huku huku Dar nilipo siku zote nimesha wakwepa sana kwenye mitego yao na sehemu zao wanako fanyia ukahaba zao kwahiyo sina shaka nao.
 
kuhusu makahaba nipo nao kilometers 100 hawaniwezi nimewazoea sana hapa Dar kona zao nyingi nazijua na nimesha kwepa mishale mingi sana kuhusu hao ma binti, [emoji22] halafu hilo la kudondokewa na duara mimi siendi kuchimba baomba nieleweke mimi naenda kununua na kuuza baasiiiii.... kuhusu majambazi ni umakini na kumuomba mungu aniepushe nao.
 
Unadhani mtu atakuuzia dhahabu kirahisi wakati hujashiriki kwenye matumizi yake
 
Swali la msingi sana..maisha ya machimboni ni hatari tupu..huku majambazi..huku makahaba..huku kudondokewa duara...yani acha tu.

#MaendeleoHayanaChama
Majambazi hayapo migodini siku hizi
Kudondokewa duara ni mara chache sana, tena kama maduara hayana usalama mengi hufungiwa hadi yajengewe
 
Unadhani mtu atakuuzia dhahabu kirahisi wakati hujashiriki kwenye matumizi yake
Eboo...! kumbe una weza ukanyimwa kuuziwa mzigo kisa hauja wakopesha jamaa wa ukware [emoji23][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…