Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU mpo wapi nyinyi, Mimi NAMI napiga hizo ishu, nipo nyarugusu GEITAKwa pesa hyo ni ndogo ila naweza kukusaidia kitu mimi naishi morogoro ila nipo na rafiki yangu tumefungua mwalo geita wa kuoshea unga wa dhahabu ili mwisho tuje kupiga pesa kwenye rundo la udongo unaobaki baada ya unga kuoshwa wa wateja au mzigo wetu binafsi wa mawe au felo, so hapo kama unataka kufanya biashara naweza kukupa kampani njoo na pesa yako utafute scale (mzani) kwa ajili ya kupimia dhahabu na kitu kikubwa ambacho utakuwa unafanya ni kudhamini wateja mizigo yao kwa kulipa usafiri na ushuru kwa uongozi wa mgodi hivyo mteja akimaliza process ya mzigo wake ni kwamba dhahabu atakuuzia wewe uliye mdhamini na wewe utakata pesa yako ya udhamini then utampatia pesa iliyobaki mbapo 1gm ya dhahabu utanunua kwa 100,000/=TZS na ukienda jikoni (sokoni) utauza kwa 125,000/=TZS na zaidi kulingana na bei ya soko kwa siku hyo.
Kikubwa ni kwamba, utafanya biashara hii kwa kupitia mwalo wetu ila bila hivyo ukisema uanze alone pesa yote itaishia kweny vibali serikalini.
Ukiwa na njaa ya kazi mtaji wako ndani ya mwezi utakuwa mara mbili yake na safari itaendelea zaidi ya kuiona kesho yako.
Uelewa wote kuhusu dhahabu utaupata ukiwa kwenye uwanja wa mapambano kuanzia inavyotoka chini adi kufika hatua ya mwisho tayar kwa matumizi yake maalumu.
NB: Bishara ya madini iko na faida sana kwa wanaofanya kikubwa kumbuka kufunga zipu kweny hii biashara.
Kwa yeyote anaetaka kufanya hii biashara ya dhahabu karibu sana na pia kama unataka kuwa partner yani kuungana na sisi katika rundo la udongo wa dhahabu karibu ntakupa maelekezo then taratibu za kisheria zitafuata mambo yatakaa sawa na tunahitaji partner mmoja tuu na uwe na pesa ya kazi syo maneno. 0768542608
nichek em mm pia nipo ukoMKUU mpo wapi nyinyi, Mimi NAMI napiga hizo ishu, nipo nyarugusu GEITA
Halafu kama umesoma na kuelewa vizuri huu uzi, gakuna mahali nilipo sema nataka kuchimba yaani kuzamia shimlni, ninachotaka mimi ni kununua madini yakuwa tayari.Sio kwamba nataka jibu, the Question was rhetorically, tumepoteza innocents souls nyingi kwenye mashimo mengi Lwamgasa hasa hawa wakuja.
Daaaah...! sawa kaka hapo nimekuelewa vilivyo nashukuru sana bakupigiaKwa pesa hyo ni ndogo ila naweza kukusaidia kitu mimi naishi morogoro ila nipo na rafiki yangu tumefungua mwalo geita wa kuoshea unga wa dhahabu ili mwisho tuje kupiga pesa kwenye rundo la udongo unaobaki baada ya unga kuoshwa wa wateja au mzigo wetu binafsi wa mawe au felo, so hapo kama unataka kufanya biashara naweza kukupa kampani njoo na pesa yako utafute scale (mzani) kwa ajili ya kupimia dhahabu na kitu kikubwa ambacho utakuwa unafanya ni kudhamini wateja mizigo yao kwa kulipa usafiri na ushuru kwa uongozi wa mgodi hivyo mteja akimaliza process ya mzigo wake ni kwamba dhahabu atakuuzia wewe uliye mdhamini na wewe utakata pesa yako ya udhamini then utampatia pesa iliyobaki mbapo 1gm ya dhahabu utanunua kwa 100,000/=TZS na ukienda jikoni (sokoni) utauza kwa 125,000/=TZS na zaidi kulingana na bei ya soko kwa siku hyo.
Kikubwa ni kwamba, utafanya biashara hii kwa kupitia mwalo wetu ila bila hivyo ukisema uanze alone pesa yote itaishia kweny vibali serikalini.
Ukiwa na njaa ya kazi mtaji wako ndani ya mwezi utakuwa mara mbili yake na safari itaendelea zaidi ya kuiona kesho yako.
Uelewa wote kuhusu dhahabu utaupata ukiwa kwenye uwanja wa mapambano kuanzia inavyotoka chini adi kufika hatua ya mwisho tayar kwa matumizi yake maalumu.
NB: Bishara ya madini iko na faida sana kwa wanaofanya kikubwa kumbuka kufunga zipu kweny hii biashara.
Kwa yeyote anaetaka kufanya hii biashara ya dhahabu karibu sana na pia kama unataka kuwa partner yani kuungana na sisi katika rundo la udongo wa dhahabu karibu ntakupa maelekezo then taratibu za kisheria zitafuata mambo yatakaa sawa na tunahitaji partner mmoja tuu na uwe na pesa ya kazi syo maneno. 0768542608
Ebwana umetisha sanaaa...! Nazidi kupata nondo za kuanzia [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ni vyema asidhamini hao wapiga ukware aka fero...kama una mwalo mkaribishe tu hapo wakishaosha anakuwa na mizani yake ananunua mzigo then anapeleka jikoni..
Kwa kuanza aanzie na 700K (laki saba) akiamua kukomaa polini hakosi 50K /per day..
jambo zuri umeamua kuwa mwenyeji wake kwa hiyo anapakuanzia tayari..
Hao wapiga ukware watamtia hasara kwa kuanzia aachane nao kwanza, ajikite mwaloni kununua tu wakishaosha...
Swali la msingi sana..maisha ya machimboni ni hatari tupu..huku majambazi..huku makahaba..huku kudondokewa duara...yani acha tu.Upo tayari Kufa ?
Swali la msingi sana..maisha ya machimboni ni hatari tupu..huku majambazi..huku makahaba..huku kudondokewa duara...yani acha tu.
#MaendeleoHayanaChama
Mara nyingi wanaotishaga wenzao unakuta hata hiyo kazi hawajawahi kuifanya wanasikiaga tu maneno ya vijiwenihizo ni risk tu ambazo kila kazi duniani pia inazo..
vingi hapo vinazuilika na vinakuhitaji wewe wenyewe..
suala la makahaba ni wewe na genye zako.
majambazi hapo ni Mungu na wewe, jifunze kutokaa na hela nyingi zaidi ya zile unazozihitaji.
Kuanguka maduara hapo hakuna namna ni kuomba Mungu tu na kama mwanaume haiepukiki hiyo, bila risk hakuna hela...
Nakupm mkuunichek em mm pia nipo uko
Na awe makini sana kufunga zipu, Maana makahaba huku wapo wengi sana aisee, na wengine ni Warembo haswaSwali la msingi sana..maisha ya machimboni ni hatari tupu..huku majambazi..huku makahaba..huku kudondokewa duara...yani acha tu.
#MaendeleoHayanaChama
makahaba hawanipati kama kunipata basi wangenipata huku huku Dar nilipo siku zote nimesha wakwepa sana kwenye mitego yao na sehemu zao wanako fanyia ukahaba zao kwahiyo sina shaka nao.Na awe makini sana kufunga zipu, Maana makahaba huku wapo wengi sana aisee, na wengine ni Warembo haswa
kuhusu makahaba nipo nao kilometers 100 hawaniwezi nimewazoea sana hapa Dar kona zao nyingi nazijua na nimesha kwepa mishale mingi sana kuhusu hao ma binti, [emoji22] halafu hilo la kudondokewa na duara mimi siendi kuchimba baomba nieleweke mimi naenda kununua na kuuza baasiiiii.... kuhusu majambazi ni umakini na kumuomba mungu aniepushe nao.hizo ni risk tu ambazo kila kazi duniani pia inazo..
vingi hapo vinazuilika na vinakuhitaji wewe wenyewe..
suala la makahaba ni wewe na genye zako.
majambazi hapo ni Mungu na wewe, jifunze kutokaa na hela nyingi zaidi ya zile unazozihitaji.
Kuanguka maduara hapo hakuna namna ni kuomba Mungu tu na kama mwanaume haiepukiki hiyo, bila risk hakuna hela...
Unawaibia watuAKS 2020 LONG RANG UNDER GROUND GOLD DETECTOR View attachment 2192493
Unadhani mtu atakuuzia dhahabu kirahisi wakati hujashiriki kwenye matumizi yakeNi vyema asidhamini hao wapiga ukware aka fero...kama una mwalo mkaribishe tu hapo wakishaosha anakuwa na mizani yake ananunua mzigo then anapeleka jikoni..
Kwa kuanza aanzie na 700K (laki saba) akiamua kukomaa polini hakosi 50K /per day..
jambo zuri umeamua kuwa mwenyeji wake kwa hiyo anapakuanzia tayari..
Hao wapiga ukware watamtia hasara kwa kuanzia aachane nao kwanza, ajikite mwaloni kununua tu wakishaosha...
Majambazi hayapo migodini siku hiziSwali la msingi sana..maisha ya machimboni ni hatari tupu..huku majambazi..huku makahaba..huku kudondokewa duara...yani acha tu.
#MaendeleoHayanaChama